WAZIRI PONDA APOKEA MSAADA WA VIFAA YA MAABARA NA UPIMAJI UKIMWI KUTOKA UJERUMANI
Mwenyekiti
wa Taasisi wa Usambazaji wa Vifaa vya Maabara ya Merck ya Ujerumani,
Dk. Karl -Ludwig Kley (kulia), akimkabidhi vifaa vya maabara ndogo,
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda, katika hafla
iliyofanyika Dar es Salaam leo. Vifaa hivyo ambavyo vina uwezo wa
kugundua dawa feki na kupima virusi vya Ukimwi (VVU) vitasambazwa
mikoani.Katikati ni Balozi wa Ujerumani nchini, Klaus-Peter Brandes.
No comments:
Post a Comment