Mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal, akisalimiana na mfanyakazi wa kujitolea kutoka nchini Ujerumani, Liza Gernemann
Mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal,
akisalimiana na mfanyakazi wa kujitolea kutoka nchini Ujerumani, Liza
Gernemann,
aliyembeba mtoto William anaelelewa na Kituo cha kulelea Watoto Yatima
cha Katandala, Sumbawanga wakati alipofika katika kituo
hicho kukabidhi tangi la kuhifadhia maji la lita 5,000.( Picha na
Muhidin Sufiani-OMR).
No comments:
Post a Comment