MATUMLA AUSAMBALATISHA MTAMBO WA GONGO KWA POINTI
Mabondia
Maneno Osward (kushoto) na Rashid Matumla Wakioneshana umwamba wa
kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao uliochezwa Jumamosi katika
ukumbi wa PTA Sabasaba Matumla alishinda kwa point.
Refarii
Antoni Luta katikati akimnyoosha mkono juu bondia Rashidi Matumla
kuashiria ushindi dhidi ya mpinzani wake maneno Osward kushoto wakati
wa mpambano wao uliochezwa Jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba
Matumla alishinda kwa point.(Picha na www.superd boxingcoach.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment