Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Akifungua Mkutano wa Tano wa Wataalamu Wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akifungua Mkutano wa
Tano wa Wataalamu wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika unaoshirikisha Nchi Nne
za Tanzania,Zambia,Congo na Burundi. mkutano huo unfanyika kwenye Hotel
ya Tanganyika Mkoani Kigoma.
Katibu mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizungumza na
Mwenyekiti wa Mkutano wa Tano wa Ziwa Tanganyika Bw Adam Hussein wakati
wa Ufunguzi huko Kwenye Hotel ya Lake Tanganyika Mkoani Kigoma
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akiwa katika Picha ya
Pamoja na wajumbe wa Mkutano wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika unaofanyika
katika Hotel ya Lake Tanganyika Mkoani Kigoma.Picha na Ali Meja
No comments:
Post a Comment