Header Ads

LIve: Shuguli zimeanza za Uzinduzi wa Hostel ya Jiji

Mh. Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akiwa katika Meza kuu wakati wa Uzinduzi huo
Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya akitoa Taarifa juu ya jengo hilo Jipya
Jiwe la Msingi Ambalo Limezinduliwa Muda si Mrefu na Mh. Makamu wa Rais Dr Bilal
Makamu wa Rais Dr Bilal akihutubia hivi Punde baada ya kuweka Jiwe la msingi katika Hostel za Halmashauri ya Jiji Mbeya
Wananchi wa soko matola wakimsikiliza Makamu wa Rais kwa makini
Picha zote na Mwandishi wetu maalum aliyepo eneo la tukio Muda huu
Picha na Blog ya Mbeya Yetu

No comments:

Powered by Blogger.