Live Makamu wa Rais Dr. Bilal Atua Jijini Mbeya yupo kufanya uzinduzi wa Hosteli ya Halmashauri ya Jiji
Hii ndio Hostel inayo Tarajiwa kufanyiwa Ufunguzi
Madiwani wakiwa wanajiandaa Kumpokea Makamu wa Rais
Baby TOT wakiwa wanatumbuiza Live Muda huu kumpokea makam wa Rais
Makamu wa Rais akiwa amewasili katika eneo la tukio Muda huu
Makamu wa Rais akisalimiana na Viongozi wa serikali muda huu
No comments:
Post a Comment