Lile Kongamano la Wazee Kuhusu Kufutiwa kwa Mitihani Watoto Wao Zanzibar Lafanyika
Muwezeshaji
wa Kongamano la kujadili Wanafunzi waliofutiwa mitihani yao ya kidatu
cha Nne Zanzibar, Ali Saleh, akitowa changamoto kuhusu mjadala wa
kujadili kitendo hicho.
Mzezi
wa mmoja wa Mwanafunzi alefutiwa mitihani Mzee Ali Hassan, akitowa
maelezo katika kongamano hilo kuhusu mtoto wake, ambaye alikuwa akifanya
vizuri tangu msingi na katika mitihani ya majaribio amefanya vizuri na
kupata nafasi za juu.
Wazee wakimsikiliza Muwezeshaji Ali Saleh, akitowa mada kuhusu mkutono huo wa Kongamano hilo.Picha na Othman Maulid-Zanzibar
No comments:
Post a Comment