Waziri Tibaijuka akabidhi zawadi kwa washindi wa mashindano ya NBC Lady Captains’’ Trophy 2011.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Prof. Anna Tibaijuka (kulia)
akikabidhi kikombe kwa mshindi aliyepiga umbali mkubwa zaidi, Vivienne
Mwaulambo wa mashindano ya Gofu ya Lady Captains’ Trophy 2011 katika
hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam juzi.
Katikati ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Mwinda Kiula-Mfugale
ambaye benki yao ilidhamini mashindano hayo.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Prof. Anna Tibaijuka (kulia)
akikabidhi kikombe kwa mshindi wa jumla wa mashindano ya Gofu ya Lady
Captains’ Trophy 2011, Halima Makame yaliyodhaminiwa na Benki ya NBC
Katika Viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam juzi.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Prof. Anna Tibaijuka (kulia)
akikabidhi kikombe kwa mshindi wa tatu wa mashindano ya Gofu ya Lady
Captains’ Trophy 2011, Violet Peter katika hafla iliyofanyika katika
Viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam juzi.
Mmoja
wa viongozi wa DGC kitengo cha gofu ya wanawake, Joyce Srvarva (kulia)
akikabidhi tuzo kwa Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa
NBC, Mwinda Kiula-Mfugale kwa kutambua mchango wa benki hiyo
kufanikisha mashindano ya Gofu ya Lady Captains’ Trophy 2011 katika
viwanja hivyo juzi
Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Prof. Anna Tibaijuka (wa pili
kulia) akipiga picha ya kumbukumbu na viongozi wa kitengo cha gofu ya
wanawake cha Klabu ya Gymkhana Dar es Salaam, mara baada ya kumalizika
kwa mashindano ya Gofu ya Lady Captains’ Trophy 2011 yaliyodhaminiwa
na NBC katika viwanja hivyo juzi. (Wa tatu kushoto ni Mkuu wa Masoko
na Mawasiliano wa NBC, Mwinda Kiula-Mfugale)
No comments:
Post a Comment