Header Ads

DK SHEIN ATOA PONGEZI KWA WANAFUNZI NA WAALIMU WALIWEZESHA SHEREHE ZA MAPINDUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akipeana mikono na kuwapongeza Walimu wa Mchezo wa Halaiki ambao walifanikisha Sherehe za Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar huko Bwawani mjini Zanzibar. 
Wanafunzi kutoka skuli mbalimbali ambao walifanikishaSherehe za Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika karamu maalumu ilioandaliwa kwa ajili ya kuwapongeza.huko Bwawani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wanne kutoka kushoto akiwa katika picha ya Pamoja na Walimu wa Halaiki ambao walifanikisha sherehe za Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar kulia yake ni Makamo wapili wa Rais Balozi Seif Ali Idi. PICHA NA YUSSUF SIMAI ALI -MAELEZO ZANZIBAR./Ramadhan Othman IKULU

No comments:

Powered by Blogger.