MKUU WA WILAYA YA TEMEKE, SOPHIA MJEMA AZINDUA MICHUANO YA UMISETA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema ambaye alikuwa mgeni rasmi wa uzinduzi
wa Michuano ya Shule za Sekondari Nchini (UMESETA), akipiga dana dana
wakati wa uzinduzi huo uliofanyika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo.
Wanafunzi wa shule za sekondari za mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (kushoto), akikabidhi vifaa vya
michezo kwa Shule ya Sekondari ya Azania vilivyotolewa na Kampuni ya
Coca Cola. Kulia Ofisa kutoka kampuni ya Coca Cola wadhamini wakubwa wa
michuano hiyo kwa mwaka 2016.
DC
Mjema akisalimiana na mwamuzi wa mchezo kati ya timu ya Sekondari ya
Tirav ya Yombo na Makongo uliopigwa katika Uwanja wa Uhuru Dar es
Salaam. Makongo ilishinda mabao 2-1.
No comments:
Post a Comment