BREAKING NEWS: Taarifa ya msiba wa Ndg. TIBBS ELAD uliotokea leo Dar es salaam
Moja ya taarifa ya kushtua na
kuhuzunisha watu
kutumiana message ni kuhusu msiba wa aliyekuwa mwanasheria TIBBS ELAD, watu wa karibu ili
kuthibitisha taarifa hiyo.
Dada wa marehemu ambaye jina lake ni Betty amethibitisha kuwa kaka yake TIBBS ELAD amefariki akiwa hospital ya Lugalo.

Maisha Kiasi Blog imepoteza Mdau wake ...
"Ni masaa kadhaa yamepita tangu ututoke duniani.Hatupo nawe kimwili lakini kiroho upo nasi daima.Tutakukumbuka sana Mzee wetu Mpendwa,Mungu aiongoze familia yako salama hasa katika kipindi hiki kigumu,ndugu Jamaa na Marafiki tunakuombea upumzike kwa amani uncle Tibbs Elad." Sisi Tulikupenda sana lakini Mungu kakupenda Zaidi.
No comments:
Post a Comment