UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) YAKABIDHIWA GARI MBILI ZENYE THAMANI YA SH MILIONI 22 NA MBUNGE WA VITI MAALUMU FAHARIA SHOMARI KHAMIS.
Mbunge
wa viti maalum, Faharia Khamis Shomari akizungumza na Wajumbe wa Umoja
wa WanawakeTanzania (UWT) katika ukumbi wa CCM Mkoa pichani hawapo
kwenye sherehe ya makabiziano ya magari hayo yalio fanyika katika Ukumbi
wa CCM Mkoa Amani Zanzibar.
Mhe:
Faharia Shomari Khamis akimkabidhi funguo Mgeni Rasmi katika sherehe
za Makabidhiano Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kwaajili ya
kuwakabidhi wahusika.
Naibu
Katibu Mkuu CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai akitoa shukurani kwa Mhe
Faharia na kuwataka wanawake wengine kuiga mfano wake wa kujitolea
ndani ya chama,hafla ya Makabidhiano hayo ilifanyika katika ukumbi wa
CCM Mkoa Amani Zanzibar.
Naibu
Katibu Mkuu CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai akimkabidhi funguo za Gari
Mwakilishi wa Umoja wa Wanawake UWT Tanzania Asha Mzee ambazo zimetolewa
na Mhe. Faharia Shomari Khamis.
No comments:
Post a Comment