MKUTANO WA PAMOJA WA WADAU KATIKA KUIMARISHA MPANGO WA TAIFA WA KUMLINDA MTOTO ZANZIBAR.
Mwakilishi
wa Shirika la kuhudumia Watoto (Save the Children) Zanzibar Mali Nilson
akitoa muhtasari wa vipengele 2 vya Taifa vya kulinda Mtoto katika
Mkutano uliofanyika Hoteli ya Ocean Vuw Mjini Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa pamoja wa wadau wa kumlinda Mtoto, wakifuatilia Mkutano huo.
Hakim
wa Mahakama ya Watoto Zanzibar Bi. Sabra Ali Muhamed akizungumzia juu
ya taratibu za kisheria pindi Mtoto anapopelekwa Mahakamani.
Afisa
Mipango wa haki za Mtoto kutoka Ubalozi wa Swiden Dar es Salaam Joyce
Tesha akielezea umuhim wa kuunga mkono jitihada za kuimarisha ulinzi wa
Mtoto katika Mkutano uliofanyika Hoteli ya Ocean Vuw Mjini Zanzibar.
Mtoto
Suhaila Mwarimwana ambae ni Mjumbe wa Bodi ya Taifa ya ushauri ya
Watoto akizungumzia ushirikishwaji wa Watoto katika kutambua haki zao.
Mkurugezi wa Program ya maendeleo na ubora wa Shirika la kuhudumia Watoto Duniani Bi Lisa Parrott akisisitiza kitu alipokuwa akifunga Mkutano wa pamoja wa wadau Watoto ulifanyika Hoteli ya Ocean Vuw Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment