UKAWA WATAJA MAJIMBO WATAYOSIMAMISHA WAGOMBEA WAO
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, akizungumza katika mkutano huo.
Kaimu
Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Nderakindo Kessy (kushoto),
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama
hicho, Ilala Dar es Salaam jana, wakati akitangaza majimbo yaliyochini
ya vyama vinavyounda Ukawa ambayo vyama hivyo vitasimamisha wagombea wao
katika uchaguzi mkuu. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha NLD,
Masudi Makunjunga.
Kaimu
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Shaweji Mketo (wa pili kulia),
akizungumza katika mkutano huo na waandishi wa habari. Kutoka kulia
ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Masudi Makunjunga, Kaimu Katibu
Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Nderakindo Kessy na Naibu Katibu Mkuu
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika.
Mkutano na wanahabari ukiendelea.
No comments:
Post a Comment