INNOCENT MELLECK SHIRIMA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE JIMBO LA VUNJO
Mgombea Ubunge jimbo la Vunjo ,Innocent Shirima akikabidhiwa fomu za kuwania ubunge katika jimbo la hilo na msiamizi wa Uchaguzi ,Furgence Mponji ambaye pia ni mkurugenzi wa Halmashauri hiyo. |
Mgombra
Ubunge wa jimbo la unjo kupitia chama cha Mapinduzi,Innocent Shirima
akionesha fomu zake za kuwania Ubunge katika jimbo hilo. |
Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo,Innocent Shrima akiwa na makada waliomsindikiza wakatialipofika ofisi za msimamizi wa uchaguzi kwa ajili ya kuchukua fomu.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Knada ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment