JAMES MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015).
![]() |
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015. |
![]() |
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa,James Mbatia akisamiana na wachezaji wa timu ya Wazalendo fc kabla ya kuanza kwa mchezo. |
![]() |
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akikagua kikosi cha wachezaji wa timu ya Himo fc. |
![]() |
Kikosi cha timu ya Himo fc. |
![]() |
Kikosi cha timu ya Wazalendo fc. |
![]() |
Heka heka zikiendelea uwanjani. |
No comments:
Post a Comment