SAFARI YA KUJITAMBULISHA YA MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI KUTOKA CHATO MPAKA DODOMA
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Rajab Luhwavi akimkaribisha Mgombea Urais wa
chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli awasalimie
wananchi,awashukuru na kujitambulisha kwa wananchi hao waliokuwa
wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM Manyoni mkoa wa Singida.
Mgombea
Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia
wananchi waliokuwa wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM Manyoni
mkoa wa Singida.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli(kulia) akisalimiana na
aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini Dk. Hamisi Kigwangala
Hussein
Bashe ambaye ametia nia ya kugombea ubunge jimbo la Nzega Mjini
akisalimiana na Mgombea wa
Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli mjini Nzega.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa Nzega
kwenye mkutano uliofanyika nje ya ofisi ya CCM wilayani hapo, ambapo
aliwaambia Wananchi kuwa amefarijika na mapokezi mazuri na amewaahidi
kurudi tena wakati wa
kampeni zitakapoanza..
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisaini vitabu vya wageni
Ofisi za CCM ndani ya mji wa Manyoni mkoani Singida alipokuwa akipita
kuwashukuru Wananchi kwa kujitokeza kwa wingi kumpokea na kujitambulisha
kwao akiwa anatokea jimboni kwake Chato akirejea jijini Dar kwa njia ya
barabara.
Wananchi
wa Igunga wakiwa na Bango lao wakimkaribisha Mgombea wa Urais kupitia
CCM Dk.John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili maeneno hayo kuwashukuru
na kujitambulisha kwao akiwa anatokea jimboni kwake Chato akirejea
jijini Dar kwa njia ya barabara.
Wananchi
wa Ikungi wakiwa wamelizunguka gari la Mgombea Urais wa chama cha
Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli na kufunga barabara wakimtaka
awasalimie tu ndipo aendelee na safari yake.








No comments:
Post a Comment