MAMA SALMA AWASILI MALAYSIA NA KUTEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA TRENI CHA SMH RAIL MJINI KUALA LUMPUR
Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa watoto wa wafanyakazi wa Ubalozi wa
Tanzania nchini Malaysia mara baada ya kuwasili kwenye Hoteli ya Royale Chulan
iliyopo Kuala Lumpur, Mji Mkuu wa Malaysia tarehe 23.7.2015.
Mke wa Rais
na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete
akipokewa na Mkurugenzi Mkuu wa SMH Rails Bwana Narayanan Kuppusamy mara baada
ya kuwasili kwenye karakana ya treni iliyoko Kuala Lumpur nchini Malaysia
Tarehe 24.7.2015.
Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa Mke wa Mkurugenzi Mkuu wa SMH Rails
Mama Lakshmi Narayanan ikiwa ni ishara ya kumkaribisha kutembelea karakana ya
treni na mabehewa huko Malaysia tarehe 24.7.2015.
No comments:
Post a Comment