Paisha Yazinduliwa rasmi jijini Dar Es Salaam hapo Jana
Mgeni
rasmi ambae pia ni rais wa Makampuni ya Convivium Africa Investment, Ndg
Alfonso ippolito akizungumza machache wakati wa uzinduzi wa platform
mpya ya matangazo iliyozinduliwa hapo jana katika hoteli ya
serena.Paisha ni platform ya matangazo ambayo inapatikana kupitia simu
za mkononi yaani smartphone na kupitia tovuti ambapo watumiaji wa simu
za smartphone wanaweza kuipakua kupitia google play and playstore bure
kabisa.
Meneja
bidhaa wa Paisha, Godfrey Fataki akizungumzia jinsi paisha inavyofanya
kazi na faida zake wakati wa uzinduzi wa platform hiyo uliofanyika jana
katika hoteli ya serena
Mgeni rasmi akifungua pazia kuashiria kuwa Paisha imezinduliwa rasmi
No comments:
Post a Comment