NGOMA AFRICA BAND WAFUNIKA INTERNATIONAL AFRICAN FESTIVAL TÜBINGEN 2015
Bendi
maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band maaruka kama
FFU-Ughaibuni au viumbe wa ajabu Anunnaki Alien's inayoongozwa na
kamanda Ras Makunja,bendi hiyo yenye makao yake kule ujuerumani ,juzi
iliuhakikishia ulimwengu tena kuwa mziki wao ni moto wa kuotea mbali!
bendi hiyo ilifanikiwa kwa mara nyingine kuyafunika maonyesho ya
kimataifa ya International African Festival-Tübingen 2015,yaliofanyika
katika viwanja vya Fest Platz,jijini Tübingen,Ujerumani.
wapitie at www.facebook.com/ ngomaafricaband wasikilize at www.reverbnation.com/ ngomaafricaband

No comments:
Post a Comment