KATIBU MKUU KIONGOZI ,BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA MAONESHO YA 39 VIWANJA VYA M.J.NYERERE JIJINI DAR
Katibu
Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akisaini kitabu cha wageni katika
banda la Wizara ya Fedha alipotembelea katika banda hilo katika maonesho
ya 39 yanayofyanyika katika Viwanja Vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba) leo
jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Msemaji Mkuu wa Wizara ya
Fedha,Ingiahedi Mduma.
Katibu
Mkuu wa Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akisalimiana Afisa Habari wa
Shirika la Taifa la Bima( NIC),Mwanaidi Shemheta alipotembelea banda
hilo katika maonesho ya 39 katika Viwanja vya Mwalim Nyerere (Sabasaba)
leo Jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi akisaini Kitabu cha wageni katika banda la Shirika la
Taifa la Bima (NIC) alipotembelea Maonesho ya 39 yanayofanyika katika
viwanja vya Mwalimu Nyerere (Saba saba) leo jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akipata maelekezo katika Mfuko wa
Pensheni wa PSPF alipotembelea maonesho ya 39 yanayofanyika katika
viwanja vya Mwalimu Nyerere (Saba saba) jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akipata maelezo kutoka Afisa Masoko
Mwandamizi wa GEPF,Violeth Nyakunga alipotembelea maonesho ya 39
yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar esalaam
leo.
Katibu
Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akipata maelekezo kutoka kwa Afisa
Mwandamizi wa ajira ,Masoko na Utafiti wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo
ya Ufundi (VETA)Julius Mjelwa alipotembelea katika maonesho ya 39
yanayofanyika katika viwanja vya Mwalim Nyerere jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akipata maelekezo kutoka kwa Mwalimu
wa Umeme wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (VETA),Majollo
Mwigowe, alipotembelea katika maonesho ya 39 yanayofanyika katika
viwanja vya Mwalim Nyerere jijini Dar es Salaam. (picha zote na Chalila
Kibuda wa Globu ya Jami).
No comments:
Post a Comment