CHADEMA YAANDAA KONGAMANO LA WAZEE, KUFANYIKA KESHO HOTELI YA BLUE PEARL UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
Mwenyekiti
wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Hashim Juma Issa (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa
habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu kongamano litakalo wakutanisha
wazee wote bila kujali itikadi za vyama vyao litakalo jadili mustakabali
wa taifa kuelekea uchaguzi mkuu litakalofanyika kesho ukumbi wa Hoteli
ya Blue Pearl Ubungo jijini Dar es Salaam.
Makamu
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Suzan Lymo, akizungumza katika mkutano huo.
Baadhi ya wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye mkutano huo.
Baadhi ya wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment