WAWEKEZAJI WAJADILI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA.
Balozi
wa India Debnath Show akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa makampuni
ya GEM, Rangaswame Veeramani katika mkutano wa wafanyakazi wa India
wanaowekeza Tanzania, mkutano uliofanyika katika Hoteli ya Protea jijini
Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
wa utawala wa TCCIA Francis Lukwaro akizungungumza na baadhi ya
waandishi wa habari kuhusiana na thamani ya shilingi ya Tanzania
inavyoshuka na kusababisha wawekezaji kuja kuwekeza hapa nchini leo
katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Protea jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Msaidizi wa Taasisi ya sekta binafsi hapa nchini Loics Accaro
akizungumza na wandishi wa habari mara baada ya kumalizika mkutano wa
wawekezaji wa China katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Protea
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa wawekezaji uliofanyika katika hoteli ya Protea jijini Dar es Salaam..(PICHA NA EMMENUEL MASSAKA.)
No comments:
Post a Comment