Mwenge wa Uhuru wawasili Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro

Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe akiwa ameshika mwenge wa Uhuru baada ya
kupokea kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Said Magalula

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe (kushoto) akiwa
amekumbatiana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Said Magalula baada ya kukabidhiwa
Mwenge wa Uhuru.

Kiongozi
wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa Bw. Juma Khatibu Chum akifungua kitambaa kama ishara ya
kuzindua zoezi la uandikishaji wapiga kura Wilayani Mvomero lililofanyika katika Kijiji cha Salawe Kata ya Kibati.
: Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Bw. Juma Khatib
(katikati) akipewa maelezo ya zoezi la
uandikishaji wa wapiga kura litakavyoendeshwa, muda mfupi baada ya kuzindua
zoezi hilo. (Kulia mwenye tracksuit)
ni Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Betty Mkwasa.
No comments:
Post a Comment