DKT,GHARIB BILAL AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MUFTI ALHAJ SHEIKH SHAABAN ISSA BIN SIMBA
Makamu
wa Rais,Dk.Mohamed Gharib Bilal akiwasili katika Msikiti wa Kinondoni
kwa ajili ya ibada kuswalia mwili wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh
Shaaban Issa Bin Simba iliyofanyika katika Msikiti wa Kinondoni leo
jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya waislaam wakiwa katika msikiti wa kinondoni katika ibada ya kuswalia
mwili wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban Issa Bin Simba
iliyofanyika katika Msikiti wa Kinondoni leo jijini Dar es Salaam.
Sehemu
ya waombolezaji katika msiba wa aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh Shaaban
Issa Bin Simba wakiwa katika majonzi katika ofisi ya Makao Makuu ya
Bakwata,Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.
Kiongozi
wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe akimpa pole Mbunge wa
Ilala Mussa Azzan Zungu kufuatia na msiba aliyekuwa Mufti Alhaj Sheikh
Shaaban Issa Bin Simba katika msikiti wa Kinondoni jijini Dar es Salaam
leo.(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII.)
No comments:
Post a Comment