MFANYAKAZI WA GLOBAL, ROBERT TILLYA AAGWA JIJINI DAR, KUZIKWA KILIMANJARO

Mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Lydia Bukumbi akiaga mwili wa Robert Tillya.

Mwandishi wa Global Publishers, Mayasa Mariwata akiuaga mwili wa mfanyakazi mwenzake kwa simanzi.

Meneja
Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (wa kwanza kulia), Mhariri
Kiongozi wa Magazeti Pendwa ya Global, Oscar Ndauka (wa tatu kulia) na
Ofisa Utawala wa Global, Soud Kivea (wa pili kushoto) wakiwa na simanzi
wakati wa zoezi la kuaga mwili wa Robert Tillya.
Elvan Stambuli akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya Global Publishers Ltd.
No comments:
Post a Comment