MASIKINI MAMA HUYU KWA MAUMIVU ANAYOYAPATA AOMBA KUKATWA MGUU.

JAMII imeombwa kutoa msaada wa hali na mali kwa BI
GRACE KAIZA mkazi wa Igoma jijini Mwanza ambaye ameomba mukatwa mguu wake kutokana na Saratani ( Kansa) katika mguu huo.
Akizungumza
na *JEMBE Habari* Bi. Grace Kaiza amesema amekuwa akisumbuliwa na
maradhi hayo kwa muda mrefu jambo lililomuathiri kwa kiasi kikubwa
kiafya na hata kiuchumi.
Akielezea
namna tatizo hilo lilivyompata amesema lilianza kama uvimbe katika mguu
wake kisha kufanyiwa upasuaji mara kadhaa lakini haikusaidia na ndipo
alipobainika kuwa na ugonjwa huo.
No comments:
Post a Comment