SIJAFUKUZWA UANACHAMA WA TLP-MREMA
Mwenyekiti wa chama cha Tnzania Labour Part (TLP) Agustino
Mrema akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo) katika mkutano uiliofanyika kwenye ukumbi wa
Idara ya Habari MELEZO kuhusu kukanusha kuwa yeye amefukuzwa TLP,Kushoto Mkurugenzi wa
Msaidizi wa Idara ya Habari Maelezo,Kulia ni Katibu Mkuu wa TLP,Nancy Mrikariya.
Na
Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
MWENYEKITI
wa Chama cha Tnzania Labour Party (TLP) Agustino Mrema,amesema hajafukuzwa
unachama katika chama hicho.
Mrema
aliyasema hayo jijini Dar es Salaam jana kuwa yeye ni mwenyekiti wa
Chama hicho na hakuna mtu wa kumtoa kutokana na kuendesha chama hicho kwa
kufuata katiba.
Amesema
kikundi kinachofanya hivyo na kusambaza taarifa kuwa kimemtoa kutokana na kufanya vikao hakitambui
na kuwataka wanachama kuwabeza watu hao.
Mrema
amesema yeye akiwa Mwenyekiti ataendelea kutetea jimbo lake la Vunjo,hivyo watu
wanaosema amefukuzwa katika chama wapuuzwe.
No comments:
Post a Comment