 |
Mwenyekiti wa
Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, akimkabizi cheti
Rajabu Mhamila baada ya mafunzo ya uhandishi wa habari kulia ni
mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na Katibu Mkuu wa Mchezo wa Riadha
nchini Suleiman Nyambu ... (RT) |
Kocha
wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia
akibadilishana mawazo na mwalimu wake wa habari za michezo Salim Said
Salim wakati wa mapumziko mafupi ya mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Taswa
jana.
 |
Baadhi ya waandishi wa habari za michezo wakifatilia mafunzo hayo. |
No comments:
Post a Comment