Kikao cha Kamati cha wasilisha hesabu za Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco)

akiongoza kikao cha
kamati hiyo jijini Dar es Salaam wakati wa uwasilishi wa hesabu za
Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) lilipowasilisha ,kulia ni Mbunge
wa Tabora Mjini Ismail Aden Rage.


Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco, Dk.
Mighanda Manyihi akijitambulisha kwa wajumbe kamati ya kudumu ya Bunge
ya Hesabu za Serikali (PAC) katika kikao cha kuwasilisha hesabu za
shirika hilo kilichofanyika jijini Dar es Salaam,kulia kwake ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Mhandisi. Felchesmi Mramba.

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco
Mhandisi. Felchesmi Mramba, akijitambulisha kwa wajumbe kamati ya kudumu
ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) katika kikao cha kuwasilisha
hesabu za shirika hilo kilichofanyika jijini Dar es Salaam, kushoto ni
Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco, Dk. Mighanda Manyihi.

Wajumbe wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutoka Sudani Kusini wakifuatilia
utendaji kazi wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC)
kwa upande wa Tanzania, katika kikao kilichofanyika jijini Dar es
Salaam, ambapo Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco)liliwasilisha ripoti
ya hesabu zake. ( Picha na Lorietha Laurence-Maelezo)

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco
Mhandisi. Felchesmi Mramba, akiwasilisha ripoti ya hesabu za shirika
hilo kwa wajumbe kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC)
katika kikao cha kilichofanyika jijini Dar es Salaam, kushoto ni
Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco, Dk. Mighanda Manyihi.
No comments:
Post a Comment