Header Ads

Rais Kikwete akutana na Mkuu wa Majeshi wa Malawi


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mkuu wa majeshi ya ulinzi wa Malawi Jenerali Ignacio Emmanuel John ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja nawakuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Malawi na Tanzania.Jenerali Ignacio Emmanuel John Maulana(kushoto) na mwenyeji Jenerali Davis Mwamunyange(kulia) ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Malawi Jenerali Ignacio Emmanuel John Maulana na ujumbe wake ikulu jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro).
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Malawi na Tanzania.Jenerali Ignacio Emmanuel John Maulana(kushoto) na mwenyeji Jenerali Davis Mwamunyange(kulia) ikulu jijini Dar es Salaam leo

No comments:

Powered by Blogger.