Vijana waaswa kujitambua ili kuondokana na umaskini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akifafanua jambo wakati wa Kikao kazi
cha Maafisa Vijana (hawapo pichani) kilichofanyika leo mjini Tabora,kushoto ni
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana nchini Bw. James Kajugusi.

Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana
nchuni Bw. James Kajugusi akitoa mada kuhusu majukumu ya Maafisa Vijana wakati
kikao kazi cha Maafisa Vijana (hawapo pichani) kilichofanyika leo mjini Tabora

Mkurugenzi wa Ubunifu wa Kampuni ya
GODTEC Bw. Aloyce Midelo akielezea namna Kampuni yao inavyosaidia vijana katika
kujiari kwa kuanzisha makampuni yao wenyewe. ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba
Nkinga (katikati) na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Elimu
kwa Umma wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
akifafanua namna NHC ilivyo saidia vijana kupitia mradi wa ufyatuaji wa
matofali na ujenzi wa nyumba za gharama nafuu.Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga na Kaimu
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi

Meneja Miradi wa DSW Tanzania Bw. Avit Buchwa akielezea
namna Shirika lao linavyosaidia vijana katika Nyanja ya Afya ya Uzazi. Katikati
ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba
Nkinga na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi


Baadhi ya Maafisa Vijana wakifuatilia
mada mbalimbali kutoka kwa wawezeshaji (hawapo pichani)Picha na Frank Shija, WHVUM .
No comments:
Post a Comment