Rais Kikwete aongoza kikao cha NEC Dodoma leo

Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu Mwenyekiti wa CCM
Bara,Phillip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana
wakiwa kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya CCM (NEC) kilichofanyika
katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma leo.

Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri
kuu ya CCM(NEC) kilichofanyika katika ukumbi wa White House mjini
Dodoma leo.

Sehemu
ya Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM (NEC) wakiwa kwenye kikao hicho
kilichoongozwa na Mwenyekiti wake,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo
pichani) kilichofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma
leo.(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment