MARIE STOPES TANZANIA YAZINDUA MRADI MPYA WA HUDUMA KAMILIFU KWA KINAMAMA BAADA YA KUHARIBIKA KWA MIMBA NA KUFUNGA MAFUNZO YA WIKI MBILI KWA WATOA HUDUMA YA AFYA 20 KUTOKA ZANZIBAR
Meneja Mradi wa huduma kamilifu kwa
kinamama baada ya kuharibika kwa mimba Ngitoria Lemonduli akielezea malengo ya
mradi huo mpya uliozinduliwa leo tarehe 16 Oktoba Hoteli ya Mnsons Shangani,
Mjini Zanzibar.
Mkuu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar Dkt. Haji Mwita Haji
akizindua Mradi mpya wa huduma kamilifu baada ya mimba kuharibika katika Hoteli
ya Masons Shangani, Mjini Zanzibar.
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Marie Stopes Tanzania ambae ni Mkurugenzi
Rasilimali watu na Utawala Bi Elly Reweta akizungumza wakati wa uzinduzi wa
Mradi na kufunga mafunzo kwa wahudumu wa Afya Zanzibar.
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mradi huo Mkuu wa Chuo cha Taaluma za
Sayansi za Afya Zanzibar Dkt. Haji Mwita Haji akimkabidhi cheti mmoja wa
washiriki wa mafunzo ya wiki mbili ya huduma kamilifu baada ya kuharibika kwa
mimba ambayo yalidhaminiwa na Shirika lisilo
la Kiserikali la Marie Stopes Tanzania.
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo Dkta Haji Mwita Haji akizungumza na
washiriki wa mafunzo na wageni waalikwa katika uzinduzi wa mradi wa huduma
kamilifu baada ya mimba kuharibika.
Baadhi ya waalikwa na washiriki wa mafunzo ya wiki mbili ya huduma za
akinamama baada ya kuharibika kwa mimba wakimsikiliza mgeni rasmi katika
uzinduzi wa mradi huo.
Daktari dhamana Kanda ya Unguja Dkt. Fadhil Mohd Abdalla akitoa shukrani
kwa Shirika la Marie Stopes baada ya kudhamini mafunzo ya wiki mbili ya
kuwajengea uwezo watoa huduma ya afya 20 wa mradi wa huduma kamilifu kwa
kinamama baada ya kuharibika kwa mimba. (Picha na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar).
No comments:
Post a Comment