Header Ads

KICHUPA KIPYA : NAVY KENZO – CHELEWA(BOKODO) [Official Video]

NavyKenzoBaada ya ngoma yao ya Chelewa(Bokodo) kufanya poa kwenye media mbalimbali hapa nchini, kundi la Navy Kenzo linaloundwa na vichwa viwili, Aika na Nahreel wamedondosha video mpya ya wimbo huo ambao umeongozwa na dairekta toka Kenya, Enos Olik. Utazame Hapo chini.

No comments:

Powered by Blogger.