PICHA : DIAMOND PLATNUMZ APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI DAR
Usiku wa jana(Julai 10), Diamond Platnumz amethibitisha msemo usemao “Hakuna Mahala kama Nyumbani”
baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere
akitokea nchini marekani katika ziara ya kimuziki na kukutana na sapraiz
baab kubwa toka kwa ndugu, jamaa, marafiki na mashabiki waliojitokeza
kwa wingi uwanjani hapo kumpokea huku wakiwa wamebeba mabango yakiwa na
ujumbe wa kumkaribisha nyumbani. Tazama picha zaidi hapo chini
Diamond akisindikizwa na mashabiki kuelekea kwenye mkoko wake














No comments:
Post a Comment