Header Ads

RIHANNA AKATA MITAA NA KIVAZI CHA KULALIA


Rihanna akikata mitaa huku akiwa ametupia night dress ya pink


 Mwanamuziki wa pop asiyehishiwa na vituko kila kukicha, Robyn Fenty AKA Rihanna ametoa kioja kingine cha mwaka baada ya kuonekana akikatiza mitaa ya jiji la New York juzi jumanne huku akiwa ametinga vazi la kulalia maarufu kama nightdress, kitendo kilochoonekana kuwavutia mapaparazi wengi na kutumia mwanya huo kumfotoa mapicha ya kutosha. Mtazame Hapo Chini……

Rihanna akikata mitaa huku akiwa ametupia night dress ya pink
Badgal Riri Riri Vevo Riri

No comments:

Powered by Blogger.