MKUU WA MABALOZI NCHINI MAREKANI ATEMBELEA UBALOZI WA AFRICAN UNION, WASHINGTON, DC
Balozi
wa kudumu wa African Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali katika
picha ya pamoja na Mkuu wa Mabalozi wote wanaowakilisha nchi zao nchini
Marekani Mhe. Roble Olhaye alipotembelea ofisi za Ubalozi wa AU zilizopo
Georgetown, Washington, DC leo Ijumaa Feb 14, 2014.
Mkuu
wa Mabalozi (Dean) nchiniMarekani Mhe. Roble Olhaye akitia saini kitabu
cha wageni na baadae kufanya mazungumuzo na Balozi wa kudumu wa AU
nchiniMarekani, Mhe. Amina Salum Ali leo Ijumaa Feb 14, 2014
alipotembelea ofisi hizo zilizopo Georgetown, Washington, DC. Balozi
Roble Olhayeanatokea Djibouti.


No comments:
Post a Comment