MAMLKAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YAUSAFIRI WA ANGA NCHINI CHINA (CAAC) WASAINI MKATBA WA USHIRIKIANO WA NDEGE ZINAZOTENGENEZWA CHINA KUTUA KATIKA ANGA LA TANZANIA
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA) Fadhili
Manongi na Mkurugenzi Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa China (CAAC)Li Jian wapili kutoka (kulia) wakisaini mkataba
wa ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa
Anga , ambapo Ndege zinazotengenezwa
nchini China zitaruhusiwa kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo
uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha Mamlaka hiyo hapa nchini kuweza
kujenga kwa wataalam kuweza
kudhibiti Ubora wa Ndege hizo kutoka China. Kutoka Kushoto ni Mwanashereia wa
TCAA Vallery Chamulungu na Kulia ni
Afisa msaidizi wa Rais wa
AVIC Mr. Geng Runguang.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Fadhili Manongi
na Mkurugenzi Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa China (CAAC)Li Jian (kulia) wakikabidhiana hati za mkataba wa
ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo Ndege zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa
kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa leo katika katika Makao makuu ya ofisi hiyo jijinia Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Fadhili Manongi
akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo (hawapo
pichani) juu mkataba wa ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo Ndege zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa
kutua katika Anga ya Tanzania. Pia Mkataba huo utawawezesha
wataalam wa TCAA uwezo wa kudhibiti Ubora wa Ndege hizo kutoka China. Kulia
ni Mkurugenzi Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa China (CAAC)Li Jian.
Mkurugenzi
Msaidizi wa
Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa
China (CAAC)Li Jian, akimabidhi zawadi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa
Anga Tanzania (TCAA) Fadhili Manongi
wakati waliposaini mkataba wa ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga
, ambapo Ndege zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa
kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa katika Makao
makuu ya ofisi hiyo jijinia Dar es Salaam.
Baadhi
ya wajumbe Kutoka nchini China waliohudhuria hafla ya utiliwaji
mkataba wa ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo Ndege
zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa
kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa jijinia Dar es
Salaam, utawawezesha wataalam wa TCAA
kudhibiti Ubora wa Ndege hizo kutoka China.
Viongozi
wa kuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) na Viongozi wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga China (CAAC) wakiwa
katika Picha ya Pomoja baada ya kusaini mkataba wa Ushirikiano wa maswala ya
usafiri wa anga ambapo ndege zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa kutuoa
katika anga la Tanzania
No comments:
Post a Comment