Ziara ya kikazi Wilaya ya Bagamoyo ya Mh. Naibu Waziri katiba na Sheria Angellah Kairuki
Picha
ya pamoja ya Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah na watumishi wa Mahakama
ya Mwanzo ya Kerege iliyopo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani alipokuwa kwenye
ziara ya siku moja wilayani humo.

Hakimu
Mahakama ya Mwanzo ya Kerege iliyopo Wilayani Bagamoyo Judas Kyombo
akisoma taarifa fupi ya utendaji ya mahakama hiyo alipotembelewa Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki alipokuwa kwenye ziara ya
siku moja wilayani humo.
Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria Angellah akisisitiza umuhimu wa kutoa adhabu mbadala
kwa watuhumiwa baada ya hukumu zao kukamilika alipokuwa anaongea na watumishi
wa Mahakama ya Mwanzo ya Kerege (hawapo pichani) iliyopo Wilayani Bagamoyo mkoa
wa Pwani kwenye ziara yake ya siku moja
wilayani humo. Wa kwanza kushoto ni Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa PwaniBahati
Ndeserua, wa kwanza kushoto ni Msajili Mahakama kuu, kanda ya Dar es salaam
Projestus Mhagama.

Mfawidhi Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo Liadi Mohamed Chamshama akimwonesha
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah (mwenye gauni kitenge) na ujumbe wake
eneo la mahakama ya Mwanzo ya Kiwangwa alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya siku
moja wilayani mkoa wa Pwani.
08 Picha ya pamoja ya Naibu Waziri wa Katiba na
Sheria Angellah na watumishi wa Mahakama ya Mwanzo ya Msoga-Lugoba iliyopo
Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya siku moja
wilayani humo.
Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria Angellah akiondoka Mahakama ya Mwanzo ya
Msoga-Lugoba baada ya kutembelea mahakamahiyo Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani
alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya siku moja wilayani humo. (Picha
zote na Eleuteri Mangi –Maelezo)
No comments:
Post a Comment