Taarifa ya msiba
Familia
ya Marehemu Joel Mwendamaka wa Dodoma, wanasikitika kutangaza kifo cha
ndugu Chaka (Joseph) Joel Mwendamaka, kilichotokea jana Alasiri,Hazina
Mkoani Dodoma.
habari
ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote popote walipo Dar es Salaam,
Tanga, Dodoma, Mwanza, Arusha, Kigoma, Iringa, Mbeya, Uongozi na
Wafanyakazi wote wa Dodoma Hotel.
Mazishi yatafanyika Jumatatu Mchana Mkuzi, Muheza Tanga. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
- Amen
Taarifa imetolewa na Peter Joel Mwendamaka na Mwani Nyangassa
No comments:
Post a Comment