Mafunzo ya waatalamu wa madawa yakaayo ardhini yaingia siku ya pili mjini Arusha.
Profesa
Jamidu Katima alisesimama, wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam akitoa elimu
kwa wataalamu kuhusu madawa yanayokaa ardhini kwa muda mrefu..katika
siku ya pili ya mafunzo hayo kwa wataalam mjini Arusha.
Baadhi ya waataalam washiriki wa warsha wakimsikiliza Profesa katika mafunzo hayo.Picha na Evelyn Mkokoi (Arusha)
No comments:
Post a Comment