RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA RASMI MKOA WA NJOMBE
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe huku wazee wa Njombe wakirusha
njiwa kuashiria kuzinduliwa rasmi mkoa wa Njombe leo Oktoba 18, 2013
katika Uwanja wa Sabasaba mjini Njombe.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amesema kuwa Maisha Bora kwa Watanzania hajawezi kuja kwa watu kushinda
wanacheza mchezo wa pool badala ya kujihangaisha kwa kufanya kazi na
shughuli nyingine za kujiingizia mapato.
Aidha,
Rais Kikwete ameahidi kuwa Serikali yake itakomesha haraka iwezekanavyo
kero ya wananchi wa sehemu za Mkoa wa Njombe kulazimika kupanda mitini
ili kupata mawasiliano ya simu za mkononi.
Rais
Kikwete amayesema hayo leo, Ijumaa, Oktoba 18, 2013, wakati alipohutubia
mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Wanginyi, Kata ya Lupembe, Wilaya
ya Njombe katika Mkoa Mpya wa Njombe kwenye siku yake ya kwanza katika
ziara yake ya siku saba kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo katika
Mkoa huo.PICHA NA IKULU BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI
No comments:
Post a Comment