Waziri Mkuu,Mizengo Pinda afungua mkutano wa Biashara kati ya Tanzani na China,mjini Guangzhou leo.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa Biashara kati ya Tanzani na
China kwenye Hoteli ya Dong Fang mjini Guangzhou akiwa katika ziara ya
kikazi nchini China Oktoba 24,2013.
Baadhi
ya washirki wa mkutano wa Biashara kati ya Tanzania na China
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano huo
kwenye Hoteli ya Dong Fang mjini Guangzhou akiwa katika ziara ya
kikazi nchini China Oktoba 24,2013.
Mkurugenzi
wa Kituo cha Uwekezaji nchini, Juliet Kairuki akizungumza katika
mkutano wa Biashara kati ya Tanzani na China kwenye Hoteli ya Dong Fang
mjini Guangzhou. Mkutano huo ulifunguliwa na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda
akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 24,2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Shirika la Ndege la
China la Hainan Airlines ,BW. Chen Feng kwenye Hoteli ya Dong Fang
mjini Guangzhou akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba
24,2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mfano wa ndege kutoka kwa Mwenyekiti
wa Shirika la Ndege la China la Hainan Airlines ,BW. Chen Feng
baada ya mazungumzo yao kwenye Hoteli ya Dong Fang mjini Guangzhou
akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 24,2013. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Shirika la Ndege
la China la Hainan Airlines,BW. Chen Feng kwenye Hoteli ya Dong Fang
mjini Guangzhou akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba
24,2013.Katikati ni Balozi wa China nchini Tanzania,Lu Youqing
No comments:
Post a Comment