WAKAZI WA TABATA SEGEREA WAITIKIA WITO WA KUPIGA PICHA KWAAJILI YA KUPATA VITAMBULISHO VYA TAIFA MUDA HUU
Wakazi
wa mtaa wa Migombani Kata ya Segerea wakiwa katika foleni ya kusubiria
fomu zao mara baada ya kumaliza kwa hatua ya kupiga picha kwaajili ya
kupata Vitambulisho vya taifa muda huu zoezi linaloendelea katika wilaya
ya ilala
Baadhi
ya wakazi wa Segerea na vitongoji vyake wakiwa katika foleni ya kupiga
picha kwaajili ya kupata vitambulisho vya taifa zoezi linaloendelea hivi
sasa katika wilaya ya ilala.
No comments:
Post a Comment