Header Ads

MHE. MEMBE AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CUBA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba, Mhe. Bibi Ana Teresita Gonzalez Fraga (kushoto) kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Cuba alipofika Wizarani kwa ziara yake ya kikazi hapa nchini.

Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano, Bibi Dora Msechu akifuatilia mazungumzo kati ya Mhe. Membe na Mhe.Fraga (hawapo pichani). Wengine ni Bw. Greyson Ishengoma (katikati), Afisa Mambo ya Nje na Bw. Thobias Makoba, Msaidizi wa Waziri Membe
Mkutano ukiendelea. Mwenye suti nyeusi ni Balozi wa Cuba hapa nchini, Mhe. Jorge Luis Lopes Tormo.
Balozi Msechu akiagana na Mhe. Fraga. Picha na Reginald Philip Kisaka.

No comments:

Powered by Blogger.