CATHERINE FOUNDATION YAZINDULIWA RASMI JIJINI ARUSHA
Mwemyekiti
wa Taasisi ya Catherine Foundation ambaye pia ni Mbunge wa viti Maalum
UVCCM Arusha, Catherine Magige akizungumza wakati wa uzinduzi wa taasisi
yake uliofanyika hivi karibuni jijini Arusha.
Catherine
Foundation ni taasisi isyofungamana na upande wowote na inatoa huduma
za kijamii kwa makundi mbalimbali yakiwapo ya Vijana, watoto na wanawake
wajane
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki akizungumza wakati akizundua rasmi taasisi ya Catherine Foundation.
Mbali na uzinduzi huo Catherine Foundation ilitoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watu wenye uhitaji maalum.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki
(kushoo) akizndua rasmi ofisi za taaisi ya ‘catherine Foundation’ iliyo jijini
Arusha, katika uzinduzio uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini humo. Pamoja nae
ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum
UVCCM-Arusha,Catherine Magige.
Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki akifurahia mandhari nzuri ya
ofisi ya Catherine Foundation. Kulia ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo na
Mbunge wa viti Maalum Arusha, Catherine Magige.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki akitia saini kitabu cha wageni.
Mwenyekiti wa taasisi hiyo na Mbunge wa viti Maalum Arusha, Catherine Magige akiwa na watoto mbalimbali.
Hapa
ndo ilipo Ofisi za Catherine Foundation. Ni Katika barabara ya Moshi
Arusha, PPF Kaloleni mtaa wa Makanyaga katika nyumba za Denafro ghotofa
ya 1. PICHA ZAIDI CATHERINE FOUNDATION
No comments:
Post a Comment