TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 59 ZA KUCHIMBA KISIMA CHA MAJ KITUO CHA AFYA PUGU KAJIUNGENI
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Jesca Njau (kushoto)
akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 59, Meneja wa
Kampuni ya Mrisho Drilling Water, Omari Mtundu kwa ajili gharama ya
kuchimba kisima cha maji katika Kituo cha Afya cha Pugu Kajiungeni, Dar
es Salaam mwishoni mwa wiki. Anayeshudia katikati ni Mganga Mkuu wa
Kituo hicho, Dk. Honest Lyimo.
Mama mjamzito mkazi wa Pugu Kajiungeni, Resistuta Ernest akishukuru baada TBL kutoa msaada huo
Baadhi ya majengo ya Kituo hicho cha afya cha Pugu Kajiungeni
Dk. Lyimo akionesha sehemu patakapochimbwa kisima
Meneja Uhusiano wa TBL, Doris Malulu akielezea mipango ya TBL kusaidia
kutatua tatizo sugu la maji katika sekta ya afya, Dar es Salaam.Kushoto
ni Dk. Lyimo.
No comments:
Post a Comment