JK AMWAPISHA NJOOLAY KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi zana za kazi baada ya kumuapisha Daniel
ole Njoolay (kulia) kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Ikulu, Dar
es Salaam leo.
JK akimwapisha Bashir Mrindoko kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji
Rais Jakaya Kikwete akitia saini kiapo cha Naibu Waziri wa Kilimo, Raphael Dalubi baada ya kumuapisha
Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Katibu Mtendaji mpya wa Bodi ya Mishahara na Masilahi, Tamika Mwakahesya.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano waKimataifa, John
Haule 9kushoto) akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Ulaya wa wizara hiyo
pamoja na Steven Wasira (kulia)
Wageni waalikwa
Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kulia) na Makamu wa Rais, Dk. Mohame
Gharib Bilal (kulia kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na
walioapishwa. Kutoka kushoto ni Dalubi, Mrindoko na kutoka kulia ni
Njoolay na Mwakahesya.
JK akizungumza na Njoolay
JK akimchukua Mjukuu wa Mrindoko, Keila Kajia (6) wakati wa hafla hiyo
JK kweli ni mpenda watoto
JK akizungumza jambo na Makamu wa Rais, Dk. Bilal pamoja na Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba wakati wa hafla
hiyo.
JK akizungumza jambo na Makamu wa Rais, Dk. Bilal 9kushoto) pamoja na Njoolay.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment