Header Ads

MTEMVU AMPONGEZA BARETTO KUFANIKISHA MSAADA WODI YA WAZAZI TEMEKE

 Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke, Dk. Amaani Kighoma (kushoto) na Muuguzi Kiongozi wa Wodi ya Wazazi ya hospitali hiyo, Magreth Zacharia (kulia) wakipokea sehemu ya msaada wa glovu na nailoni za uzazi zenye thamani ya sh. mil. 5, zilizotolewa na Mwasisi wa Taasisi ya African Malaika, Fiona Barretto (wa pili kushoto). Anayeshudia hafla hiyo iliyofanyika hospitalini hapo juzi, ni Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu.
 Mtemvu, Baretto na Kighoma wakitoka baada ya kutoa msaada
 Mtemvu akimfariji mama ambaye alifiwa na mdogo wake aliyekuwa anajifungua katika Hospitali ya Temeke
Mtemvu akitoa mkono wa pole kwa mama mfiwa.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

No comments:

Powered by Blogger.